Breaking News

TANGAZO, kwa wateja

Tunakitambulisha kichocheo madhubuti cha Nano  kilichothibitishwa ubora wake na shirika la  
viwango la kimataifa (ISO 9001:2015). Hii ni teknolojia ya kipekee na ya kimapinduzi kwenye tasnia ya magari na mitambo. kichocheo cha Nano kimetengenezwa na teknolojia ya kisasa duniani ya Nano (Nano technology) kwa ajili ya kuikarabati na kuipa ulinzi injini ya gari yako bila kuifungua. Kichocheo cha Nano huziba mikwaruzo yote ndani ya injini na kuirudisha nguvu ya injini kama ilivyokuwa mpya. Wasiliana nasi kupitia Namba  0715480174. 


Kichocheo cha Nano kinaipa injini ganda au tabaka gumu la ceramic na platinum. Tabaka hili linafanya muunganiko wa kudumu na chuma cha injini (cylinder wall) na kina uwezo madhubuti wa kuhimili uchakavu na michubuko itokanayo na msuguano. Inarudisha uwezo wa kusukuma wa injini (compression ratio) kwa kuweka ganda gumu kwenye ukuta wa cylinder. 

FAIDA ZA KICHOCHEO CHA NANO . 

Hupunguza matumizi ya mafuta kwa 8% - 21%.Huongeza nguvu ya injini hadi kufikia 100%.Hupunguza mlio na makelele ya injini na mtetemo hadi Mara 5 zaidi.Inatoa ulinzi wa injini hadi kufikia 40000 km.Husaidia Kuboresha uhai wa injini na vifaa vingine.Hulinda injini na kuirudisha kwenye ubora wake kama ilivyokuwa mpya.Huongeza msukumo wa injini na kuboresha uunguaji wa mafuta.Hulainisha usukani na gear box.Hupatikana kwa magari ya aina zote, generator, compressor, pikipiki, bajaji na kila aina ya mtambo.Hupunguza utoaji wa moshi kati ya mara 3 hadi 9.Ina garantii ya utendaji kazi kwa 100%.Haiharibiki kwa nanma yoyote ile.Bidhaa bora kabisa iliyothibitishwa kimataifa na kitaifa.Inakupa faida ya kutoifungua injini hivyo kuongeza thamani ya gari hata ukitaka kuiuza.Inakupa faida ya kupata mafuta bure kila unapoweka kwa mara ya 9.Faida isiyolinganishwa ya ulinzi wa gari lako hadi kufikia km 40000 kwa sh 60000 tu ukilinganisha na gharama za  mafuta na services kwa kipindi hicho.

MATUMIZI 

Injini inatakiwa iwe imetumika kwa km 3000.Kichocheo cha Nano kinatumika kwa injini za aina yoyote inayotumia oili ya aina yoyote (mineral or synthetic oils).Ili kupata matokeo bora zaidi weka unapofanya service.Ipashe injini yako.Tikisa kichocheo cha Nano kabla ya kuweka kwenye injini.Fungua kifuniko cha injini oili halafu mimina kichocheo cha Nano.Funga kifuniko. Hongera, umefanikiwa.Baada ya kumimina kichocheo cha Nano usibadili oili ya injini mpaka kipindi cha matumizi yafuatayo (kilomita 400 kwa pikipiki na bajaji, kilomita 1200 - 1500 kwa magari madogo na kilomita 3000 kwa malori na mabasi).

MAPENDEKEZO. 
Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio na kukubaliwa na taasisi zifuatazo. 

Chuo kikuu cha Taifa cha Kyungpook - Korea.Chuo Kikuu cha Taifa cha Seoul - Korea.Taasisi ya Korea ya Mashine na Vifaa.Chuo Kikuu cha Yeungnam - Korea.Taasisi ya Korea ya Teknolojia ya magari.Jeshi la ulinzi wa Taifa la Korea.Kituo cha Jeshi la Anga la India.

UTHIBITISHO WA UBORA. 
Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio maabara, kuthibitishwa, kukubalika na kutunukiwa vyeti vya ubora na taasisi zifuatazo. 

Shirika la Ubora la Kimataifa ISO 9001:2015.Shirika la viwango la Tanzania - TBS.Mkemia mkuu wa serikali ya Tanzania - GCLA.Maabara ya kimataifa ya SGS.Maabara ya kimataifa ya TUV SUD Industrie Service GmbH.

USHUHUDA / MAPENDEKEZO. 
Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio na makampuni ya kutengeneza magari, kimethibitishwa na kupendekezwa kutumika na makampuni yafuatayo. 

MERCEDES BENZTOYOTAGM DAEWOOVOLVOHONDAHYUNDAIAUDIkichocheo cha Nano sasa kinapatikana Tanzania na kusambazwa na POWER ENERGY ENGINEERING COMPANY LTD. Tunakaribisha mawakala kutoka wilaya zote za Tanzania. Wasiliana nasi kupitia Namba  0715480174. 

Kwa wafanyabiashara: usiikose fursa hii ya kibiashara. 
Kwa wamiliki wa vyombo vya moto (Magari, pikipiki, bajaji nk): Tumia Kichocheo cha Nano kwa ulinzi madhubuti wa chombo chako. 



WASAMBAZAJI WA NANO MIKOANI- TANZANIA

DAR ES SALAAM

UBUNGO OIL COM Jengo la oil com juu kwenye bango la Bima 0715 480 174   

RealMaps Mtaa wa sikukuu/mkunguni kariakoo 0755 366 658 0713 360 040                  

Dubai traders Livingston/mafia Kariakoo 0716 302 626   

Luesha central Mtaa wa msimbazi/ mvita jingo la kisangani 0768 820 344  

Japan auto spare parts Mwenge( karibu na Maryland bar) 0714 363 637  

Bk japani auto spare parts Segerea stand karibu na Fantasy park 0653 519 653  0758 519 653   

Darajani Geraji Darajani ubungo karibu na Land Mark Hotel 0765 447 803  0686 615 298   

MOSHI KILIMANJARO

Mshiu 0714 229 079

  

MOROGORO

Jumbo Lubnzants Morogoro eneo la Fine Mazimbo Road 0715 003 738   

Nuba auto Auto Accessories Mtaa wa Fine morogoro 0653 129 307

  

DODOMA

Temu auto parts Mtaa wa mji mpya chenja Dodoma 0754 265 211  0715 265 211   

Nuba auto Accessories Eneo la CBE Dodoma 0653 746 907

  

MWANZA

GT. Sahara general supplies Pamba Road mwanza0754 560 284   0754 560284   

Libety mkabala na Coconut Hotel mwanza 0626 450 450   

GEITA  

Kashakara auto spare parts Nyerere Road Geita

  

SHINYANGA

Green Star Expresses Stendi ya mikoani 0766 876 057     0759 933 290  

Phanuel  jeremia  Machinjioni eneo la viwanda shinyanga 0755 042 505  0787 592 871   

SINGIDA

Bingo spare Centre Standi ya zamani C Bomba la maji mkabala na Asma Hotel Singida  0755 961 679 0712 504 579

   

ZANZIBAR

Bengkok Accessories Kwa Biziredi mkabala na Bin Rashid Madawa 0779 959 850   0788 106 469   

IRINGA 

MAGELANGA – mtaa wa mahiwa, kibanda cha ccm no.6 stand kuu. 0684 025388

 

MAFINGA

LUMATO TELEPHONE SERVICES karibu na bank ya posta.

 0753-105040/0655-105040

MAKAMBAKO

ALEX  AUTO SPERE  - mji mwema mkabala na stand mpya. 

0769-252445 /0755-519246

NJOMBE

MANGULA AUTO PARTS    -karibu na duka la Mama Widambe

0763-514771 / 0769-463911/0757-017321

MBEYA

KAPAGA   -Mtaa wa Nyimbuko Kata ya Mwakibete  

0789-889331/0754-306881

TUNDUMA

DUKANI KWA YUSTO ILOMO  - Mtaa wa black kwa manyanya. 

0753-353673/0653-188492

SONGEA

SIMONI MANYAI.           - 0716-518545

Kwa maelezo zaidi na kutaka uwakala katika wilaya na mikoa ya Tanzania piga simu No: 0715 480 174

No comments